Chumba kinapangishwa

Enumi

Member
Mar 15, 2010
5
1
Chumba kimoja kwenye nyumba ya vyumba sita vya wapangaji kinapangishwa eneo la sinza Block C walking distance toka Chuo Kikuu cha Da res salaam. Kodi ni shilingi za Tanzania hamsini elfu kwa mwezi. Kinawafaa zaidi wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Kama unakihitaji piga simu namba 0713 344431 au tuma barua pepe kwa alphonce@maths.udsm.ac.tz.
 
Back
Top Bottom