Newspaper Design | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Newspaper Design

Discussion in 'Matangazo madogo' started by leseiyo, Jul 20, 2010.

 1. leseiyo

  leseiyo Senior Member

  #1
  Jul 20, 2010
  Joined: Oct 25, 2007
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tafadhali .Naomba msaada kwenye mambo ya fuatayo kuhusu Design ya Gazeti(Tabloid)

  1 jinsi ya kuset vipimo vya gazeti(Tabloid) la kurasa kumi na sita
  2.jinsi ya kuseti center pages.
  3. jinsi ya kuexport kwenye PDF Fomat.
  asante kwa msaada wako.
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Jul 21, 2010
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Watafute wataalamu wakusaidie. Utatengenezaje gazeti wakati huna ufundi huo? You cann't DIY that.
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ndiyo sababu kaleta swali hapa kwani ni kisima cha wataalamu wa mambo yote.
   
 4. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #4
  Jul 22, 2010
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,221
  Likes Received: 7,340
  Trophy Points: 280
  Ruge, lazima uelewe kuwa si lazima uwe na utaalam kuanzisha jambo au mradi. Unachotakiwa ni kuwa na ubunifu [idea].
  Mfano mzuri sio kila mkandarasi ni Engineer, Sio kila mmiliki wa shule ni Mwalimu na si kila mfanyabiashara ni mchumi.Hii ndiyo dhana potofu ya watanzania na ni lazima tubadilike.
  Kuna uwezekano Leseiyo ana wazo na mtaji lakini hajui ni vipi gazeti lina andaliwa. Ndio maana ameleta hoja yake jamvini ili asaidiwe. Kama kuna mtu ana uwezo msaidieni ndio ujasirimali wenyewe.
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Unatumia programu gani?
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Jul 23, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Atumie QuarkXpress....
   
 7. leseiyo

  leseiyo Senior Member

  #7
  Jul 23, 2010
  Joined: Oct 25, 2007
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Adobe indesign cs 3
   
Loading...