Katibu Tarafa
JF-Expert Member
- Feb 16, 2007
- 989
- 51
Naomba msaada, nahitaji gari kwa ajili ya kwenda mkoani iwe imara na ikiwezekana nipate 4x4.
Nahitaji kwa wiki moja tu. Kama itapatikana kuanzia Jumatano ijayo basi tuwasiliane kwenye PM yangu.
Nahitaji kwa wiki moja tu. Kama itapatikana kuanzia Jumatano ijayo basi tuwasiliane kwenye PM yangu.