version gani ya Landrover discovery!

RealTz77

JF-Expert Member
May 18, 2009
738
40
Mambo vipi humu ndani?
Wanajamii mwenzenu nataka kununua gari 4WD, ammbayo ni Landrover discovery, please naomba kwa wenye uelewa mnisaidie kuchambua ni aina gani/version ipi ya discovery ni bomba?kuendesha Dar na mara chache sana (almost twice per year) kwenda mikoani. nitafurahi kama utainclude usage(fuel), maintenance costs, confortability,reliability,appearance etc! japo waweza pia kunishauri mbadala wake kama ni muhimu, mwenzenu sijui kabisa issue za magari!
 
pata td5 series II ya 2005 manual... Tdvc6 bado wabongo wamwshindwa kuitengeneza
 
Mambo vipi humu ndani?
Wanajamii mwenzenu nataka kununua gari 4WD, ammbayo ni Landrover discovery, please naomba kwa wenye uelewa mnisaidie kuchambua ni aina gani/version ipi ya discovery ni bomba?kuendesha Dar na mara chache sana (almost twice per year) kwenda mikoani. nitafurahi kama utainclude usage(fuel), maintenance costs, confortability,reliability,appearance etc! japo waweza pia kunishauri mbadala wake kama ni muhimu, mwenzenu sijui kabisa issue za magari![/QUOT

bajeti yako ndio itaamua.kama money no object go for DISCOVERY 3 TDV6........CMC LANDROVER wapo na hizo bado mpya huwezi kupata matatizo ya kiufundi mara kwa mara provided ni low milage.
ila kwa bajeti ndogo go for TD5 series II kama DN alivyosema especially 2003-on models
 
Na mimi naomba kuuliza mmbe bosi, hivi FREElander zinafaa bongo jaman?, niliwahi kusikia watu wakizilalamikia lakini kwa sabu sikuwa na interst nazo sikufatilia mjadala. nitafurahi ni kijuzwa kwa hilo
 
TD5 II zile za mwanzoni ni nzuri na imara (1998-04). 2.5td engine yake safi sana ile kama una pesa za mafuta basi 4.0cc v8 itakufaa.
Freelander za zamani (kabla ya 2004) ni bomu..engine zake ni karatasi ..utabadilisha head gasket mpaka utachoka (hii ni 1.8cc engine)-watu wanafunga engine za Rav4..
Za baada ya 2004 zina BMW engine na ni nzuri sana.
 
thanks mkuu well sina hela za mafuta kihivyo kuchukua gari inanyonya kama jini, but naona wengi mumeshauri td5 usage yake ktk fuel ikoje? pia spare zake bongo hazisumbui au gharama za kuimaintain imekaaje!
 
hio td5 ni 2500cc diesel engine......ni engine ndogo sana kulingana na ukubwa wa gari hivyo ni economical,very reliable,watu wanazitumia sana kuvuta matrela zina nguvu na reliable sana.......
 
hio td5 ni 2500cc diesel engine......ni engine ndogo sana kulingana na ukubwa wa gari hivyo ni economical,very reliable,watu wanazitumia sana kuvuta matrela zina nguvu na reliable sana.......
mKUU KULA TANO!!

TD5 za diesel zinatumika sana hata na engineers wenye roadworks na offoroad assignments, pia nimeona hata wale professional hunters wanaopenda starehe kidogo wamejitahidi kuzimodify.... they are efficient, flow fuel consumption na kikubwa zaidi ni stability na comfort hasa kwenye mwendo mkali

zina good suspension system na pia manual is better hasa kama utaitumia bongo, cha kuangalia ni control box, cooling system [hasa kama ni mtu wasafa] na kuwa makini kwani inaitika mwendo balaa

dont buy ya petrol, wabongo tunachakachua hadi biandamu.... the car will die in less than six months
 
if u r looking for style go for mercedes G55 ............................

ni gari moja nzuri sana kwa muonekano na umadhubuti
 
if u r looking for style go for mercedes G55 ............................

ni gari moja nzuri sana kwa muonekano na umadhubuti
DADANGU WEWE MCHOKOZI SASA.... yANI UNAONA KABISA JAMAA ANAULIZIA LANDROVER WEWE UNASEMA MERCEDES...

SAWA
 
De Novo nilikosea kusoma .............

nilijua kasema RANGE-ROVER nikajua pesa ya kununulia gari yenyewe si issue! mweh
 
De Novo nilikosea kusoma .............

nilijua kasema RANGE-ROVER nikajua pesa ya kununulia gari yenyewe si issue! mweh

so do u think G55 is a better looking car than RANGE ROVER???
 
De Novo nilikosea kusoma .............

nilijua kasema RANGE-ROVER nikajua pesa ya kununulia gari yenyewe si issue! mweh

Duuh wee kiboko haswa tulia kuna LR na RR, so mimi nahitaji LR
 
Duuh wee kiboko haswa tulia kuna LR na RR, so mimi nahitaji LR

wabongo wanafurahisha sana......kwanza RANGE ROVER NI LAND ROVER kama discovery,defender,freeland i.e LAND ROVER range rover au LAND ROVER discovery.
pili tofauti ya bei kati ya RANGE ROVER na DISCOVERY ni ndogo sana kama ziko kwenye hali moja.....sometime RR is cheaper than DISCOVERY.
 
Kwa kuongezea, kama ni Disco TD5 jitahidi upate ambayo haina Air Suspensions na kama utaweza badilisha iwe na coil springs
.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom