Wana JF kuna nyumba ya vyumba 3, sitting room, dinning, kitchen, choo + bafu.
pia ina uwanja mkubwa unaotosha kujenga nyumba nyingine.
nyumba ipo kimara mwisho-ghorofani, mita 20 kutoka barabara...
appartment ya two bed room,sitting room,kitchen na toilet inapangishwa ipo maganga estate veternary area,formely tazara flats.bei inaanzia 180,000 per month
call 0715791130 mr kazmir
Imesajiliwa tarehe 22/07/2010, silver, 2001, St 21 3s petrol, 83226 km, automatic,
Bei 7.5mil kwa maelezo zaidi au kuiona au maelewano piga simu 0717114409 au 0755312233
Wana JF kuna nyumba ya vyumba 3, sitting room, dinning, kitchen, choo + bafu.
pia ina uwanja mkubwa unaotosha kujenga nyumba nyingine.
nyumba ipo kimara mwisho-ghorofani, mita 20 kutoka barabara...
Nipo bunju vikawe ili kupata specification ya viwanja nilivoeleza asubuhi leo. Kuna viwanja vingi ila nilivyothibitisha ni hivi. 44x25 sh 1500000, 39x25 sh 800000, 39x21 sh 800000, 33x32 sh...
Kwa wale wenyeji wa Tabora na zaidi kwa wilaya ya Urambo na waumini wa kanisa la Moravian Church jimbo la Magharibi, nasikitika kuwatangazia kifo cha Mchungaji Samuel Silanda Sambali kilichotokea...
Habari wana jamii
Nauza gari aina ya toyota Ipsum tourer 1999, nimeitumia kwa muda wa miezi 11 toka niiagize japan, imetembea km 150,000 ipo ktk hali nzuri sana, bei 12Mil
serious buyers contact...
Habari JF,
Promotion kabambe ya Crank Box inaendelea.
Crank Box ni jenereta ya ndogo mkono yenye uwezo wa kuwasha taa 3 aina ya LED.
Faida zake ni nyingi.
Haitumii mafuta ya...
WWW.UADILIFU.BLOGSPOT.COM
Wakati natafuta tafuta Blog za Kudumisha maadili nimekutana na hii blogu Mpya www.uadilifu.blogspot.com Imenivutia kwa makala zake zenye nia ya kujenga kizazi chema...
Fanya kazi mahali popote, kuwa mjasiliamali wa Kimataifa na Umiliki maisha yako mwenyewe, bila kuacha kazi au shughuli yako ya sasa! Tunatoa mafunzo, tutakusaidia na kukuongoza kufikia malengo...
FREMU YA BIASAHRA INAPANGISHWA
IPO ENEO LA CHANGOME KATIKATI YA MADUKA MAWILI NA KITUO CHA BASI CHA BORA.
INAFAA KWA OFISI, DUKA LA VIPODOZI, DUKA LA CHAKULA, DUKA LA VIFAA VYA UJENZI /NK.
BEI YA...
Wana jf kuna nyumba inauzwa ipo Magomeni Kagera -DSM
ina vyumba 9,Inafaa kuwa Hosteli, Guest,Godown,Kuishi 3 Familia,Kiwanda Kidogo cha Printing,Kusaga na Kupaki Nafaka Etc.
Mita 100 kutoka...
Tunatengeneza milango ya aina mbali mbali kwa kutumia mninga mkongo na mvule bei zinatofautiana kulingana na aina ya mlango bei zina range Tsh 250,000-300,000 kwa mlango mmoja.finishing yetu ni...
Natarajia kusafiri kwenda ughaibuni kwa miezi 3 hivi, nahitaji insurance kunicover kwa muda huo.
Mwenye kujua naomba anisaidie wapi naweza kupata travel insurance.
Watumiaji wa email kupitia http://www.hotmail.com, kuna watu matapeli ambao wanatuma jumbe za kukutaadharisha kuwa kuna matatizo katika anuani pepe yako na wanakutaka utume maelezo yako binafsi...