Promotion......promotion ..........promotion!!! Nunua zawadi ya x-mas sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Promotion......promotion ..........promotion!!! Nunua zawadi ya x-mas sasa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by futikamba, Oct 18, 2010.

 1. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari JF,

  Promotion kabambe ya Crank Box inaendelea.

  Crank Box ni jenereta ya ndogo mkono yenye uwezo wa kuwasha taa 3 aina ya LED.
  Faida zake ni nyingi.

  eco_crank_box1.JPG
  1. Haitumii mafuta ya taa/petroli/dizeli
  2. Haitumii betri
  3. Haitegemei mionzi ya jua
  4. Haitegemei umeme wa tanesco
  5. Ni nzuri kwa utunzaji wa mazingira
  6. Ni ndogo & inabebeka
  7. Tegemeo la maisha ni miaka kumi
  8. Waranti ya mwaka mmoja
  Matumizi:

  Crank box inaweza kutumuka:-
  1. Mashuleni kwa kusomea
  2. Majumbani ikiwa ni mbadala wa mishumaa, koroboi & kandili
  3. Kambini
  4. Mijini & Vijijini
  Bei halisi ya crank box ni TZS 35,000/= lakini kwa sasa bei yake ni TZS 15,000/= tu!!! Je si punguzo kubwa hilo??
  Promotion hii inaisha tarehe 30-11-2010.

  Nunua zawadi ya x-mass upeleke nyumbani kwani TZS 15,000/= tu inaweza kubadilisha maisha ya mtu.
  Wahi sasa, kwani bidhaa ni chache mno!!

  Crank Box - Kwa Mwanga Bora na wa Kudumu!!!

  Tupo mbezi beach - samaki karibia na hoteli ya Gates of Paradise.
  Wasiliana nasi 0715 997688/ 0785 997688
  Tanzania Home Power Systems - Lighting the Nations.
   
 2. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Biashara ni matangazo kaka......ah, sory, bidhaa ni ubora!:A S thumbs_up:
   
 3. futikamba

  futikamba JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2010
  Joined: Jan 18, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wana JF,

  Napenda kuomba radhi kwa wapendwa wateja wetu waliotutembelea siku za hivi karibuni na hata siku za nyuma na kukosa crank box kwa maelezo kwamba bado hazijafika. Ni kwakuwa tulikuwa na process ndefu ya kutoa mzigo bandarini. Sasa, crank box zinaweza kupatikana kuanzia tar. 15.11.2010 pale pale pa siku zote. Promotion ndio hiyo inafikia tamati.
  Msisahau kuwanunulia watu mnaowajali zawadi ya crank box kwa ajili ya x-mass. Kwa kumzawadia crank box..

  1. Utakua unampunguzia uwezekano wa kupata maradhi yatokanayo na carbon emissions
  2. Ataepuka gharama za kununua mafuta ya taa & betri
  3. Kama ni mwanafunzi, atasoma sasa bila kusita
  4. Ni kwa TZS: 15,000/= tu unaweza kuwa na mchango mkubwa kwenye kubadilisha maisha yake
  Fanya sasa, Usingoje baadae!!!
  KARIBUNI SANA!!
   
Loading...