Nyumba inauzwa kimara mwisho

Mbona hapa umeingia "choo cha kike" - sio pake hapa kauzie kule kwenye "madogo madogo"
 
Wana JF kuna nyumba ya vyumba 3, sitting room, dinning, kitchen, choo + bafu.
pia ina uwanja mkubwa unaotosha kujenga nyumba nyingine.
nyumba ipo kimara mwisho-ghorofani, mita 20 kutoka barabara ya kwenda bonyokwa na mita 500 kutoka morogoro road.
HAINA MGOGORO
bei 35,000,000/-
0755 198216, 0755 310028
 
Nakumbuka hii nyumba ilikuwa 100,000,000/- mwezi uliopita leo imeshuka kiasi hicho, hiyo nyumba ina lake jambo.
 
Wana JF kuna nyumba ya vyumba 3, sitting room, dinning, kitchen, choo + bafu.
pia ina uwanja mkubwa unaotosha kujenga nyumba nyingine.
nyumba ipo kimara mwisho-ghorofani, mita 20 kutoka barabara ya kwenda bonyokwa na mita 500 kutoka morogoro road.
HAINA MGOGORO
bei 35,000,000/-
0755 198216, 0755 310028

mita 50NKAFWATE KUROGWA
 
mie nadhani tuanze kuchangia jf kwa lazima maana tuna benefit bila kujua inaendeshwaje,sijachangia ila nitafanya hivo soon,na wewe pia changia sio kuleta matangazo tu ya biashara humu
 
Siasa za bongo bana so what has this got to do with uchaguzi 2010; maybe there some connection hebu tujuze
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom