GAGL
JF-Expert Member
- Aug 5, 2010
- 390
- 395
Nipo bunju vikawe ili kupata specification ya viwanja nilivoeleza asubuhi leo. Kuna viwanja vingi ila nilivyothibitisha ni hivi. 44x25 sh 1500000, 39x25 sh 800000, 39x21 sh 800000, 33x32 sh 1000000, 20x20 sh 400000 vipo vitatu. Umbali ni kama km 2 kutoka b/moyo road, barabara inapitika hadi kwenye kiwanja. Unakata kona ilipo shule ya sekondari baobab njia panda ya vikawe barabara ya kwenda kibaha. Competition ni kubwa sana. Na hizi ni bei za wanakijiji wenyewe.