Milango | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Milango

Discussion in 'Matangazo madogo' started by manyusi, Nov 8, 2010.

 1. m

  manyusi JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2010
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 273
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Tunatengeneza milango ya aina mbali mbali kwa kutumia mninga mkongo na mvule bei zinatofautiana kulingana na aina ya mlango bei zina range Tsh 250,000-300,000 kwa mlango mmoja.finishing yetu ni nzuri sana,karibuni.Unaweza ni PM au tuma email kwa akamanyusi@yahoo.com
   

  Attached Files:

 2. Original Pastor

  Original Pastor JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 1,256
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  nI pm MIMI nipo Seriously nahitaji milango 8 ya ndani na miwili ya njoo cha nje na mmoja wa Jikoni. Nyumba yangu ni Ndefu kozi 10 lita kozi tatu kama kutakuwa na discount tutafanya biashara.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  [​IMG]

  Good finishing, kama ni ya kutoka Bongo mizuri sana!
   
Loading...