Nyumba Inauzwa

Kwetu mbali

Member
Oct 7, 2010
49
10
Wana jf kuna nyumba inauzwa ipo Magomeni Kagera -DSM
ina vyumba 9,Inafaa kuwa Hosteli, Guest,Godown,Kuishi 3 Familia,Kiwanda Kidogo cha Printing,Kusaga na Kupaki Nafaka Etc.
Mita 100 kutoka Morogoro Road. Bei maelewana

0715311604 na 0713236154 waweza kutuma SMS
 
KARIBU SANA JF, MKUU MARA NYINGI KWENYE TANGAZO KAMA HILI

1)Unaweka picha
2) unaweka na bei kabisa kama mtu anaiweza atakupigia

fanya hivyo mkuu
 
KARIBU SANA JF, MKUU MARA NYINGI KWENYE TANGAZO KAMA HILI

1)Unaweka picha
2) unaweka na bei kabisa kama mtu anaiweza atakupigia

fanya hivyo mkuu
Itakua vyema ukifuata ushauri wa Mheshimiwa itapendeza zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom