Pikipiki inauzwa

mulashan

Member
Jan 8, 2010
17
1
Pikipiki aina ya XL 125 cc inauzwa kwa shilingi za kitanzania 1,500,000 (milioni moja na nusu). Kwa mawasiliano piga simu namba 0755 498013.
 
mpya au used? iko mkoa gani?
weka tangazo vizuri au hujui biashara? ebooo!!!
 
Mpya ya bei hiyo unaweza kupata wp? Hiyo ni used mjomba. Ndo maana kuna contact mobile namba kwa mtu ambaye yuko interested. If you could be interested you couldn't ask those questions. In short iko Dar Es Salaam, Tanzania.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom