Nyumba inauzwa kimara mwisho

Joined
Nov 5, 2010
Messages
18
Likes
0
Points
0

mwanatz

Member
Joined Nov 5, 2010
18 0 0
Wana JF kuna nyumba ya vyumba 3, sitting room, dinning, kitchen, choo + bafu.
pia ina uwanja mkubwa unaotosha kujenga nyumba nyingine.
nyumba ipo kimara mwisho-ghorofani, mita 20 kutoka barabara ya kwenda bonyokwa na mita 500 kutoka morogoro road.
HAINA MGOGORO
bei 35,000,000/-
0755 198216, 0755 310028
 

payuka

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Messages
832
Likes
12
Points
0

payuka

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2010
832 12 0
Kuna tatizo hapo, naomba uniwie radhi kwani mi sina haja ya kukuaribia biashara. Sababu zinazonifanya nihisi kuna tatizo ni kama ifuatavyo:-
  1. Umeshapost zaidi ya mara 3 ( which is not bad)
  2. Marazote watu wamesisitiza kuomba picha ( Hukuwahi ku-respond juu ya lini utaweka picha, kitu hiki kinanifanya kutoamini ubora wa hiyo nyumba na bei yake)
  3. Hiyo nyumba huenda ina mgogoro wa kifamilia, na hii ni kutokana na nyumba yenye sifa hizo kimara haiwezi kuuzwa kwa bei hiyo ( 25 mil awali)
  4. Huenda eneo halijapimwa na kuna mgogoro wa ardhi
  5. wewe unaonekana na dalali, na nimelitambua hilo kwenye hii post yako ya mwisho hasa kwa kupandisha bei kutoka 25m to 35m ( na umekiri mwenyewe kwa kusema mwenyewe anataka kuwekeza sehemu nyingine.
Kama uko serious weka picha na wahakikishie wateja kwa kujibu maswali yao.
 

Forum statistics

Threads 1,203,510
Members 456,791
Posts 28,116,296