NAPENDA KUWAKARIBISHA KWENYE MKUTANO WA FOS
KESHO JUMAMOSI TAREHE 25
MAHALI : LANDMARK HOTEL UBUNGO
MUDA : KUANZIA SAA 10 JIONI
KWA MAWASILIANO ZAIDI
UKIFIKA PIGA...
Mwanaume mmoja wa nchini Hispania alimchinja mkewe na kukiweka kichwa chake kwenye begi na kwenda nacho baa kunywa pombe huku akiwatambia marafiki zake kuwa amemchinja mkewe...
Taarifa ya Msiba.
Assalaamu 'Alaykum wa RahmatuLlaah wa Barakaatuh,
Ndugu wapenzi, marafiki na member wa JF, kwa majonzi makubwa sana nawataarifu msiba wa Baba yangu mzazi ulio tokea tarehe 31...
Habari yenu wanajamii,
Napenda kuwaataarifu uwepo wa jenereta ndogo iitwayo Crank Box.
Inafanya kazi(Operate) kwa teknolojia ya kuzungusha (Winding technology).
Ukizungusha kwa muda wa dk 1...
By next week nitatoka New York kuelekea SOUTHERN VIRGINIA
Naomba msaada kwa yeyote aishie maeneo ya SOUTHERN VIRGINIA ama karibu.
Nategemea kwenda huko kwa muda kuna project naenda kufanya...
Gari aina ya BMW, X5, toleo la mwaka 2001, rangi nyeusi, inauzwa.
Ninaifahamu gari hii, ni ya rafiki yangu. Kama unataka ku-impress, ndiyo yenyewe. Ina nguvu, inatumia mafuta vizuri, engine yake...
Natural Health Products available to treat Acne, High/Low blood pressure, Overweight, Diabetes and Arthritis (joint pain), Dandruff. The products are of first quality, and have 30 day guarantee...
Napenda kuwajulisha Tena kwamba michango zaidi kwa ajili ya DR W P SLAA inahitajika kwa ajili ya Kampeni zinazoendelea nchini Kote .
Anuani ni M-PESA 0763 177737 ZAP 0787 658125 NMB a/c #...
poleni na hekaheka za kampeni
naomba yeyote anayeweza kunisaidia kupata manufacturers of PVC chest drainage catheters or wholesallers or distributors
size 16, 20,24,36
Wa ndugu habari za Alasiri,
Ninauza kiwanja, kipo maeneo ya Pugu Mwakanga kuelekea CHANIKA. Kimepimwa na kina letter of offer na ukubwa wake ni 971sqm. Bei ni 5.7 M tu. Kipo sehemu nzuri kabisa...
Iwe pembezoni kama si karibu na barabara ya Old Bagamoyo Road basi mita chache kutoka katika barabara hii ( eneo la Mikocheni hadi whitesands, Jangwani Sea Breeze, Beach comber na Berinda) Iwe...
NI TECHOLOJIA YA KISASA AMBAYO NDIO INATUMIKA SANA KWA HIVI SASA.
ZINA UBORA WA HALI YA JUU NA BALBU(GROUPS) ZAKE NI BEI RAHISI SANA.
ZINA MASAA MENGI(8000 HRS) KULIKO PROJECTA NYINGI.
Matumizi...
Inahitajika haraka pesa ipo mkononi tayari. Ikiwa unayo wewe au kuna mtu umemuona au kumsikia anauza nipigia katika simu hii 0717114409/0755312233 au nitumie picha na maelezo katika...
Namtafuta, miongoni mwenu, mtaalam wa Microsoft Excel, atakayeweza kunitengenezea document itakayofanya kazi hii:
Sales Invoice
Invoice inatakiwa kuwa na worksheet mbili.
Worksheet ya kwanza ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.