Natafuta noritsu 2611 pamoja na developing yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta noritsu 2611 pamoja na developing yake

Discussion in 'Matangazo madogo' started by ketwas, Dec 30, 2010.

 1. ketwas

  ketwas JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 213
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimehangaika vya kutosha,natafuta mshine aina ya noritsu 2611 na developing yake kwa ajili ya kuoshea picha,pia kama itakuwa na digital carrier yake,
  naombeni mnisaidie
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Kwa nini usinunue 3001 au 3011 mkuu hiyo ni nzuri kuliko unayotaka hiyo 2611. Ninayo 3001 na v50 Developing yake, ninaweza kukupa. Leta offer mazee.
   
Loading...