Nafuta flat ya kununuwa 2 or 3 bed room | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nafuta flat ya kununuwa 2 or 3 bed room

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Zahor Salim, Jan 3, 2011.

 1. Z

  Zahor Salim Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 30
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Salaam wa wanaukumbi

  naomba kujulishwa kama hapa dar es salaam kama kuna flat zinauzwa kwa njia ya malipo ya instlament yaani kama kuna mjenzi anajenga jengo la ghorofa kumi na zaidi na huwa anauza flat kabla hayaanza kujenga na kulipa down payment na balnce kwa muda wa miaka 2 au zaid.

  Naomba yeyote anaejuwa naomba contact

  natanguliza shukran
   
Loading...