Nauza gari toyota ipsum | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza gari toyota ipsum

Discussion in 'Matangazo madogo' started by lonesome, Dec 30, 2010.

 1. l

  lonesome Senior Member

  #1
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 195
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  nauza gari TOYOTA IPSUM . IMETEMBEA KM 93,500. RANGI YA SILVER. IPO OK HAINA SHIDA ,IMELIPIWA BIMA COMPREHENSIVE MPAKA 2011 MWEZI WA TISA.ina uwezo wa kuchukua abiria saba mpaka nane. bei ni shilling million nane. haina tatizo lolote inatembea. kwa mawasiliano ZAID piga simu 0714 160222 au 0768891102 . simu au sms zitajibiwa au email ngumbukeson@yahoo.com
   

  Attached Files:

 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  ya mwaka gani? na kwanini umeamua kuliuza?
   
 3. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35

  DUh?
   
 4. l

  lonesome Senior Member

  #4
  Dec 30, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 195
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  gari imeingizwa nchin mwaska 2004 but mtumiaj hakutumia sana akawa amepata safari ya kwenda kusoma nje so amerud tena kuanza kuitumia 2009.imekuwa ikitumika toka kipind hicho kwa mizunguko ya ndan ya dsm na pia imewah kwenda mkoa so ni gari ambayo unaweza kwenda nayo hata kigoma na kurud bila shida yoyote upande wa mechanics. na ni gar ya 1999.engine yake ni 3S kwa wale wataalamu wa magari.ni moja ya engine bora kabisa na imara.automatic gear. engine na gear box havijaguswa kabisa. so hapo ndugu ushindwe wewe. na hiyo bei si ya dalali...ni bei halali ya mmiliki wa gari hiyo ambaye ni mimi. kununua na kuuza ni mfumo wa maisha nauza so that to convert the car into money. nahitaj pesa kwa ajil ya mambo fulan binafsi.
   
Loading...