Vitanda kwa bei nafuu

manyusi

JF-Expert Member
Mar 3, 2009
292
170
Muunge mkono mjasiriamali kwa kununua vitanda toka workshop yetu iliyopo sinza.wasiliana nasi kwa email; akamanyusi@yahoo.co.uk
 
Attachments

  • PICT0793.JPG
    PICT0793.JPG
    36.4 KB · Views: 1,185
  • PICT0794.JPG
    PICT0794.JPG
    34.8 KB · Views: 1,422
  • PICT0801.JPG
    PICT0801.JPG
    55.6 KB · Views: 3,265
Mkuu Manyusi ungweka hata angalau bei ya kitanda watu tujipange ndo tunaanza life.
 
Weka bei mkuu, nimevipenda hata mimi, au vipi Mkuu? Wewe weka uone kama hatujajilipua mapema. ni vizuri, shida ni bei, maana unaweza ukaanza kumtafuta mhusika kumbe bei hatuiwezi wengi.
 
jamaani huu ni uuzaji gani....
mbona watu wengi wako kama huyu jamaa wanatangaza halafu hawaweki bei

anyway vitanda vyako vizuri...
 
Wakuu bei zake ni Tsh 350,000 kwa 5x6 na Tsh 400,000 kwa 6x6 hicho sio rangi yake hiyo mpauko hapo kilikuwa kinaandaliwa kupigwa msasa then vanish.Karibuni wakuu
 
Mkuu Manyusi ungweka hata angalau bei ya kitanda watu tujipange ndo tunaanza life.
Eeh Fidel mpaka leo hujajipanga? mkuu utazeekea kwa wazazi changamka mpwa.Sisi wengine tulipo anza kazi tu cha kwanza kununua ni kitanda.
 
aah mumesahau watanzania tumeambiwa hakuna kulala? sasa vitanda tena duh? au hiyo hakuna kulala sijaielewa?
 
Eeh Fidel mpaka leo hujajipanga? mkuu utazeekea kwa wazazi changamka mpwa.Sisi wengine tulipo anza kazi tu cha kwanza kununua ni kitanda.

Mkuu basi nichangie hapa nina 200,000/= nataka nikamate mzigo huo wa mia tatu msaada kusaidiana mkuu na wewe si utafunga harusi wa kukuchangia ni sisi mkuu.
 
Weka bei mkuu, nimevipenda hata mimi, au vipi Mkuu? Wewe weka uone kama hatujajilipua mapema. ni vizuri, shida ni bei, maana unaweza ukaanza kumtafuta mhusika kumbe bei hatuiwezi wengi.
Wakuu bei zake ni Tsh 350,000 kwa 5x6 na Tsh 400,000 kwa 6x6 hicho sio rangi yake hiyo mpauko hapo kilikuwa kinaandaliwa kupigwa msasa then vanish.Karibuni wakuu
call 0713876210
 
...kitanda kina nakshi nzuri, uimara wake tu ndio unanitia mashaka.
 
KITANDA kizuri mbona ka papi nyingi .kitaweza kweli mikiki ya vijana,je una waranty
:target:

kama ulikuwa akilini mwangu vile hilo ndolilikuwa swali langu atujaona miguu yake kwani hile ndoinayobeba ktanda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom