Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

toyota mark 2 gx 110 2004 model metalic color 1990CC 75,000 odometer sports rims, CD changer, TV, airbag, ABS, PS, PW, bumper iligongwa kdg but imerudishiwa vizuri na ukitaka unawekewa mpya...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
http://globalproject.lh.or.kr/03_Projects/sub02_01_view.asp?PROJECT_NUM=68&PROJECT_STATE=002&
0 Reactions
4 Replies
3K Views
HOUSE IS AVAILABLE FOR RENT .Please Click http://www.tanzaniarealestates.com/KDR4001.htm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninatafuta aerial maps za Kata ya Kimbiji, hususan zile zinazoonesha kijiji/mtaa wa Kizito Huonjwa. Nafahamu Wizara ya Ardhi ina aerial maps za Tanzania yote. Je, wapi ninaweza kupata za Kimbiji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta nyumba ya kupanga ambayo ipo tayari kwa kuhamia sasa hivi. iwe na vyumba 2 vya kulala, sitting room, choo/bafu, jiko,maji, umeme, parking ya gari kuanzia 2, na usalama. maeneo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
wakuu,nimekwama kumalizia kakibanda kangu ili nihame kwa mama mwenye nyumba!!tatizo ni wapi ninaweza kukopa tiles na kulipia kidogokidogo nimalizie hii ishu yangu!! wasalaam
0 Reactions
12 Replies
4K Views
HOUSE IS AVAILABLE FOR RENT .Please Click http://www.tanzaniarealestates.com/KDR4001.htm Physical Address: Area: Ununnio Beach ,Boko Basihaya near Kunduchi. Rental Price: 500,000 Shillings...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Yeyote anayehitaji huduma ya matibabu na maendeleo ya mifugo ya aina zote basi ninaomba aniPM kwa mawasiliano zaidi. Nashukuru sana kwa ushirikiano na mnakaribishwa! Kila la kheri!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Joyce Joliga,Songea KATIKA hali ya kusikitisha, mwanaume aliyetambuliwa kuwa ni Mwidadi Hamisi,(32) mkazi wa Bombambili mjini Songea, mkoani Ruvuma, amemnyonga mtoto wake wa umri wa miaka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema makali ya mgawo wa umeme yaliyotangazwa juzi, yamepungua kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
iphone 3gs 16gb white brand new boxed with all accessories bado haijafunguliwa bei 900,000 (ono) contact 0717445288 or 0756262454
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Proffessor Karim K.N.HIRJI amefariki, mazishi yake kesho 16/03/2010 huko Njiro Makaburini, Arusha! Hirji alikuwa Msomi na Mweledi aliyebobea, akiwa amefanya kazi nyingi za utafiti. Alipata kuwa...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Model Mercedes Benz 290 GD Engine 3000cc CONTACT: 0717144200 FOR MORE INF.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Na Mwandishi Wetu Wakati jamii ya muziki wa Kizazi Kipya na mashabiki wao wakiwa bado katika maombolezo ya msiba wa Julieth D. Mrina ‘Pendo’ (24), kubwa zito limeibuka kuhusu anayetajwa kuwa...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
(Amendment ya tangazo la tarehe 15.03.2010) Natafuta nyumba ya kupanga ambayo ipo tayari kwa kuhamia sasa hivi. iwe na vyumba 2 vya kulala, sitting room, choo/bafu, jiko,maji, umeme, parking ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Assalam Aleykum! Mwenye kujuwa huu mradi wa Nyumba za NSSF unaenda aje ajitokeze ili tufaidike.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
YOU ARE ALL CORDIALLY INVITED TO: THE SECOND JULIUS NYERERE INTELLECTUAL FESTIVAL WEEK APRIL 12-15TH, 2010 NKRUMAH HALL – UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM HIGHLIGHTS: A WEEK OF REFLECTIONS ON...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Model:Clearco HD9000 Model-with latest LCD Technology from UK. Brightness: 1800 lumen!! Contrast ratio: 1000:1 Resolution: compatible with 1024*768 with a 800*600 Native Resolution. Lamp life:8000...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WAKATI polisi ikihaha kujikwamua na tuhuma za mauaji ya dereva wa teksi kwa mgongo wa majibu ya daktari, familia ya marehemu imekataa uchunguzi wa maiti ya ndugu yao kufanywa bila ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MWANAMKE mmoja mkazi wa Buguruni Kisiwani jijini Dar es Salaam, anashikiliwa na polisis kwa tuhuma za kumkatakata mtoto wa mdogo wake mwilini kwa kutumia wembe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom