nahitaji kununua laptop | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nahitaji kununua laptop

Discussion in 'Matangazo madogo' started by WA MAMNDENII, Jan 18, 2011.

 1. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  kama kuna mdau mwenye kujua kufahamu duka /mahali/mtu ambapo naweza kununua used laptop yenye kiwango cha kuridhisha isiyozidi tshs 500,000/ tafadhali anitonye au anielekeze pa kuipata, nina dogo wangu yupo chuo kapata boom lake kanipa uchache nimtafutie hivyo kabla sijaanza kuzungukia maduka town wadau mwaweza kunipa mwelekeo
   
 2. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  shida yako imekwisha nicheki humu kwa private message then toclose the deal.
   
 3. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2011
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  du! mkuu kukucheki kwa private message kwenye hili jukwaa inanipa utata hebu nipe somo kamanda
   
 4. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  ndugu yangu hii forum ni kama face book hapo juu kwenye home page ukiangalia vizuri utakuta sehemu ya private message, au click kwenye user name yangu hapahapa, itakupeleka kwenye profile yangu then utanitumia message, kifupi ni kama email tu hakuna tofauti.
   
Loading...