Wachoraji wa Ramani za nyumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wachoraji wa Ramani za nyumba

Discussion in 'Matangazo madogo' started by hope 2, Jul 23, 2010.

 1. hope 2

  hope 2 Senior Member

  #1
  Jul 23, 2010
  Joined: Apr 28, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau, wana JF,

  Naomba yeyote anayefahamu watu wazuri na wenye gharama nafuu kwa uchoraji/design ramani za nyumba kwa ajili ya kuishi/makazi tafadhali anisaidie.
  Naamini wengine wapo humu jf, tafadhali naomba mjitokeze, nipeni contacts tutafutane.
   
 2. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  mm namjua ..! sema unataka ramani ya namna gani..?
   
 3. T

  Taso JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2010
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,648
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  atamweleza mtaalam, we mtaalam? toa contacts umemaliza msaada wako
   
 4. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2010
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Naamini unahitaji msanifu (architect) na sio mchoraji (draftsman)! Hili ni la muhimu maana usije ukaingia mkenge! Kama unatafuta architect naweza kukupa contacts lakini kwenye suala la bei nafuu hilo sitaki kulisemea kwa sababu sijui kipato chako (i.e. bei nafuu kwako yaweza kuwa aghali kwangu or vice versa!).
   
 5. hope 2

  hope 2 Senior Member

  #5
  Jul 26, 2010
  Joined: Apr 28, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nashukuru sana,
   
 6. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #6
  Jul 26, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 7,000
  Trophy Points: 280
  Heshima ndugu SMU, mimi nilikuwa nahitaji huyo draftsman, kama una contact zake naomba unipe ili nipatane nae, nyumba imeshajengwa inahitaji mchoro
   
 7. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Please try this number - 0713 556221

  The guy is good and has reasonable price
   
 8. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2010
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,465
  Likes Received: 1,950
  Trophy Points: 280
  ahahahahaa...nyumba ishajenga sasa inahitaji michoro..ok..its possible..inaitwa michoro hiyo "as built drawings"...inategemea pia unahitaji michoro hiyo kwa matumizi gani...say unahitaji kuongezea ghorofa juu..soo unahitaji architect atakayefanya kitu inaitwa design Concept and space layout na kwa kushiirikiana na structural engineer atakayefanya structural analysis and soundness of the building b4 ku-recommend hiyo vertical xtension...au..unataka kuigeuza nyumba ya kulala kuwa say bar, office, or anything....

  architect works better in here kuliko huyo drafsman maana usually wao wanafanya kazi kwa mwongozo na maelekezo ya architects....NI USHAURI TU BILA MALIPO
   
 9. l

  lonesome Senior Member

  #9
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 195
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  yupo mtu mzuri na ana bei nzur sijapata kuona piga 0714160222 phillip ni mchoraj mzur wa raman mkuu
   
 10. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 813
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 60
  here i am, an architect, mwana j.f mwenzenu. Please give me those jobs. My numbers are 0785131616 or 0717321336.
   
 11. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,780
  Likes Received: 579
  Trophy Points: 280
  0784408746
   
 12. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  nashauri amtumie huyu wa kwetu kwanza wakishindwana atoke nje
   
Loading...