Yoyo banned again!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,724
Sababu:
Kuandika hadharani kuwa anadhani mmoja wa Mods(jina lipo) ameaga dunia!
Duration:6months
 
Sasa si angeambiwa tu kuwa si kweli!

Mi huwa nashangaa sdana humu JF. Sometimes, watu humu huwa wanaandika vitu ambavyo havina uthibitisho na kubandika mapicha ya uchi kwenye majukwaa ambayo hata watoto wanayapitia lakini hatuoni kupewa Ban.
 
Utapigwa ban kwa kupinga mtu asile ban
 
Thats very low Mods! Sidhani ni kosa hilo. Hii mijamaa inajifanya kama miungu watu. Tatizo liko wai mtu kuandika hisia zake ama MOD wa JF hawatakufa. Buddy grow up huu ni utoto bin uchanga kabisa. Yo Yo has nothing to loose. Eti miezi sita lol my footy
 
Six Months?, hata Chenge kwa kosa lake hakupata adhabu hiyo.

I WISH MODS WANGEKUWA MAJUDGE KWENYE KESI YA CHENGE.... maybe hata Rostam angekuwa ndani tayari
 
I just simulate if suppose, he said PJ has kicked the bucket...:Cry::Cry:....thats too chilling men!...
 
Mi napendekeza Mods waainishe kila kosa na adhabu yake, watuwekee hapa, ili ukifanya kosa ujuwe utakabiliwa na adhabu gani, na si hivi tunasikia tu mara wiki 3, na mwingine kwa kosa ilo ilo anakula ban mwaka, mwingine anapewa tu onyo, mwingine miezi sita.
 
Kila sehemu ina taratibu,kanuni na sheria zake,so tuzifuate ili tuwe salama,ama mnataka JF iendeshwe kama TANZANIA inavyoendeshwa
moderators nadhani endeleeni na kautaratibu,kanuni na sheria zenu mlizojiwekea
tupo nanyi kwa maslahi ya Wana Jf na Jf kwa ujumla

mapinduziiii daimaaa:ban:
 
Mimi binafsi sipingi watu kufungia au kupewa Ban, ila ninachokitaka ni kujua tu, makosa yapi yanaendana na adhabu ipi, basi ni ilo tu.
 
Eeeeh! Miezi sita? thats too much..hivi muhusika huwa anapewaga nafasi ya kujitetea kabla ya kula ban?
 
Sasa si angeambiwa tu kuwa si kweli!

Mi huwa nashangaa sdana humu JF. Sometimes, watu humu huwa wanaandika vitu ambavyo havina uthibitisho na kubandika mapicha ya uchi kwenye majukwaa ambayo hata watoto wanayapitia lakini hatuoni kupewa Ban.

Hivi watoto kupitia porn sio tatizo la mzazi? Inakuwaje mtoto awe na uhuru wa kutumia internet kwenda kwenye kila site, inaweza kuwa hata kwenye site nyingine natumaini hili ni swala la parents na siyo la JF. Kwa sababu huwezi kuingia kwenye forum ya mambo ya kikubwa bila kuomba. Vile vile on the other note si ndio utandawazi ambao wengi wanasema ndio maendeleo.
 
Nilipozungumzia picha za utupu ndani ya Jf, nilikuwa namaanisha kwenye majukwaa ambayo uitaji vibari kutoka kwa Mods, mfano kuweka picha za utupu jukwaa la mapenzi, au jukwaa la picha au jukwaa la jokes na utani... uko ndiko ninakopigia kelele mie na si jukwaa la mambo ya kikubwa mpaka uombe ruhsa.

Note:
Si kila kinachokuja na utandawazi au kinachotoka nchi zilizo endelea ni maendeleo.
 
Back
Top Bottom