Spss training | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Spss training

Discussion in 'Matangazo madogo' started by jab, Jan 18, 2011.

 1. j

  jab Member

  #1
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Contents

  1. Introduction to SPSS 12.0
  2. Preparing Codebook
  3. Designing SPSS templates
  4. Preparing the Data file before Analysis
  5. Preliminary Analysis
  6. Creating and Editing charts
  7. Interpretation of the Output
  8.Statistical techniques to explore relationships among variables
  ● Correlation
  ● Regression
  ● Factor Analysis
  9. Statistical techniques to compare groups
  ● T-test
  ● One-way analysis of variance
  ● Two-way between-groups ANOVA
  ● Non-parametric statistics (Chi-square)

  FOR MORE INFO CALL: +255 713 252 142
   
 2. A

  Ashangedere Senior Member

  #2
  Jan 18, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi haya matangazo yamekaaje?? training wapi? saa ngapi? investment? mtu akiona anafit ndio apige simu. maelezo pleeeeeeease
   
 3. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #3
  Jan 18, 2011
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  karibu ndugu jab kwenye hili jukwaa , naona umekuja kwa kasi ya kibiashara zaidi kwenye hili jukwaa, hiyo training mbona maelekezo yake yamekaa hewani hewan au ndo mambo ya daslamu
   
 4. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #4
  Jan 18, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Are online courses available?
   
 5. R

  Retreat JF-Expert Member

  #5
  Jan 18, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Jab , more details please!
  Like, Venue: Dates: Time: Fees etc etc!
   
 6. j

  jab Member

  #6
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani kwa wale wenye nia just call ndo maana nimetoa namba, najua JF ina watu wengi na kila mtu ana interest yake. Binafsi naishukuru sana JF maana nimepokea simu zaidi ya sita mpaka sasa wakihitaji maelezo japo kwa kifupi.

  Venue: Dodoma
  Cost: 150,000
  Time: 14:00-16:00 for two weeks ila special arrangement can be done,
  Date:31-01-2011

  No online session but soon will be posted via my moodle platfom which I will also let you know.

  We also offer Data Analysis Consultancy. Ukiwa na data zako bado unaweza kunitumia tukalijenga taifa pamoja
   
 7. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #7
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Thanks,kutokujua kuitumia kunatutesa sana wakati wa data analysis.....nafikiri ungeweka tangazo pale chuo na hasa kwa postgraduates!!!
   
 8. j

  jab Member

  #8
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii si mara ya kwanza kuifundisha spss, ninao wanafunzi wa postgraduate na PhD sema nimeona si mbaya kama tuki-share tangazo ili ikitokea mmoja wetu kama wana-JF anahitaji basi asisite kuuliza.

  karibuni sana kwa wale wenye nia.
   
 9. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #9
  Jan 18, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,570
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Huu umeme kupanda na gasi kuwa inapanda daily naona tutazidi kupata wanaotaka kuongeza kipato ..wasikilize wadau na utoe maelezo ya kutosha karibu sana JF...
   
 10. j

  jab Member

  #10
  Jan 18, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kabisa Easymutant,
  Life goes on...
   
Loading...