Tired of changing batteries, buying kerosene and sniffing carbon emissions?
Try this new Product!
A New Product on renewable energy category has emerged.
A CRANK BOX is a hand power generator...
Hello all
I hope all is well with you wherever you are and in what you are trying to accomplish !!!
Jamani, kama kuna mtu anamjua nduguye/rafiki/jamaa ambaye kwa sasa yupo marekani na...
Kwa wale wadau wanaotaka kusaka Nondoz China,kuna chuo No.1 kwenye nyanja ya Pharmacy kwa mda mrefu sasa China,kinaitwa China Pharmaceutical University kinatoa kozi za Bachelor of...
2000 model Toyota PREMIO
1700CC, 45,000km. SIlVER
AUTOMATIC
OPTIONS
sports sims,airbag, center lock, AC, tape, fm, ABS, CD player, very economiic
full registered.
bei ni 8ml.
kwa picha na...
2001 and 2000 models Toyota NOAH
1998CC, 65,000km. WHITE niyngine SIlVER
AUTOMATIC
OPTIONS
sports sims, cd changers, TV, Back camera, NAVIGATION (japokuwa ni useless kwetu), airbag, center lock...
Familia ya Bwana Gabriel kilave wanapenda kutangaza kifo cha
kaka yao BW GEORGE KILAVE kilichoteka huko INDIA
Habari ziwafikie ndugu jamaa wote wanaomjua bw kilave
washarika wa KANISA LA ASKOFU...
KIJANA mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Bakari amepoteza maisha kwa kuuawa kikatili na watu wasiojulikana na kumtupa pembezoni mwa barabara huko maeneo ya Ubungo Msewe jijini Dar es Salaam...
NATafuta office ya kushare,on part time basis,
ninahitaji mahala pa kufanya kazi zangu binafsi,hasa weekend and evenings,just a desk to work on,nyumbani distractions nyingi,mimi ni muajiriwa so i...
Kuna mdau yoyote anayejua wapi hapa Dar naweza kununua ndevu za kubandika,
Hii kitu India ni common sana, inauzwa sana. Sasa kwa hapa Bongo sijui naweza kupata
wapi?
A small family of four will be looking for a 3-4 bedroom house at Msasani, Kawe beach, Mikocheni or Mbezi Beach for long term lease starting 1 December 2010. Budget USD 300-350. Please contact...
Jamani ndugu zangu wapendwa, kuna mdogo wangu anatarajia kuhamia Tanga kikazi na kwa hivi sasa anatafuta nyumba ya kupanga. Kwa kuwa anaanza maisha na mambo ni mengi anatafuta nyumba ya vyubma...
iwe na vyumba 3 au 2 na bei ni laki kwa mwezi.
mahala popote dar kunakofikika na usafiri.
Nataka kuhama hapa nilipo kwani mwanangu mchanga ameugua malaria three times a month na maji yanatuama na...
Wakuu habari za kazi,
Kuna ndugu yangu anatafuta gari ya kununua,Suzuki Escudo 5d,Ataitumia kijijini,(hali ya barabara sio nzuri sana) ,Kwa hali hiyo anataka iwe na hali nzuri,isiwe imetembea...
Napenda kuwakaribisha Kwenye usakilizaji wa Kipindi cha Teknohama Katika Morning Star Radio 105.3 fm hapa jijini dare s salaam kuanzia saa 3 Asubuhi siku ya jumapili yaani Kesho .
Kesho...
Wpendwa katika bwana napenda kutoa shukran kwa wale wote walioshiriki
pamoja nami katika kumwaga bibietu bibi anna kipingu alietwaliwa na mungu
katika ulimwengu wa dunia hii na kwenda kuandaa...
As received:
MUALIKO WA KIKAO CHA WANA JUMUIYA YA - LONDON
Uongozi wa muda wa Jumuiya ya Watanzania - London umekamilisha kazi mliyotupa ya kutengeneza mfumo mpya wa kiuendeshaji pamoja na...
Plot yenye ukubwa wa 450 SQm inauzwa. ipo maeneo ya savei katika decent neighbourhood na inafaa sanaa kwa ujenzi wa nyumba ya makaazi au hata biashara kwa maana ya hostels kwakuwa ipo karibu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.