Toyota DCM linauzwa, zuri kabisa linatembea Temeke - G/Mboto

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,852
16,750
Hakuna dalali, njoo uone na ununue
Toyota DCM T 133 ACD lipo barabarani Temeke - Gongo la mboto, zima kabisa, body, engine, kila kitu safi,
Wasiliana nasi for more details
0715800001
0713453059
 
Kila siku tunasema haya lakini jamaa wanaonekana kama hawako serious na hizo biashara zao
Nimeweka na phone numbers, to show how serious i am, ila picha nitaweka, gari ni nzima kabisa ipo barabarani, serious buyers mnaweza kuliona
 
Nimeweka na phone numbers, to show how serious i am, ila picha nitaweka, gari ni nzima kabisa ipo barabarani, serious buyers mnaweza kuliona
Kama hakuna Ujanja Ujanja weka bei hadharani,mtu akipiga simu iwe anataka taarifa zaidi,bei ni taarifa ya msingi!!!
 
Mbn haueleweki weka bei watu wajue kama wakivutiwa na bei watwange simu kufanya bargain this is the business au gari lenyewe kimeo nini ndio maana hata picha hutaki kuweka.
 
Kilomita mil. ngapi mpaka sasa?? nipo serious mkuu, tupia na picha kabisa kwenye post yako,,
 
Back
Top Bottom