Dears,
On behalf the Tanzania Flora and Fauna Initiative (FFI-TZ), we are happy to extend a special FFI-TZ membership opportunity. FFI-TZ is a Tanzanian Environmental and Humanitarian...
Natafuta wimbo huu uliopigwa miaka ya 70 ama 80 na bendi ya Tanga International. Nimewahi kuulizia RTD kwenye banda lao la maonyesho pale Mnazi Mmoja mwaka 2009 lakini hawakuwa nayo kati ya nyimbo...
Wa ndugu Habari za asubuhi?,
Ninauza kiwanja, kipo maeneo ya Pugu Mwakanga kuelekea CHANIKA. Kimepimwa na kina letter of offer na ukubwa wake ni 971sqm. Bei ni 5.7 M tu. Kipo sehemu nzuri kabisa...
Imetumika miezi 5
Windows Mobile 6.5 (imekuwa updated na firmware mpya kwa ajili ya X2)
Mem card 8GB
8MP kemera
Kila kitu kipo kama ilivyonunuliwa (earfones ,kimfuko chake n.k)
Unaweza kupata...
THE PROFILE OF YAI TANZANIA
INTRODUCTION
The vision of Youth Achievers Initiatives Tanzania (YAI TANZANIA) was conceived in 2006 and has gone through window period up to 26th August, 2010...
Habari JF,
Napenda kuwajulisha kwamba tunatafuta mawakala kutoka pande zote za nchi kwa ajili ya kusambaza crank box.
Crank Box ni jenereta ndogo ya mkono isiyotumia betri, mafuta ya...
Napenda Kukualika katika Mjumuiko wa wanabidii katika hoteli ya Peacock iliyopo Dar es salaam , Barabara ya Bibi Titi Pembeni mwa Viwanja vya Mnazi Mmoja .
Lengo la Mjumuiko huu ni kuwa na...
Ndugu wana JF, natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Ilala au Magomeni. Nyumba iwe yenye vyumba viwili vya kulala na sitting room na jiko. Naomba msaada wenu ndugu.
Kwaheri ukoloni kwaheri uhuru
Nugu zangu wapendwa,wengi wamesumbuka sana katika kujaribu kutafuta ili kupata kitabu hiki ambacho kimekuwa kama mkombozi na mfumbuzi wa historia ya kweli kuhusu...
All,
Am looking for an independent lawyer to run my labour case against my former employer. a case is now with CMA called only once waiting for mediation.
A person should :-
1. Be familiar...
UNAYO NYUMBA UNAPANGISHA AU UNAUZA? KAMA JIBU NI KATI YA HAYO MAWILI BASI USIPOTEZE MUDA INGIA KWENYE BLOG YA DALLY ESTATE,UWEZE KUORODHESHA NYUMBA YAKO BURE KABISAA.
PIA UNAWEZA KUFWATILIA...
A Totota Corolla AE 100 (fully registered as a Taxi but can be reversed for personal use) is available for sale.
It is a 1993 production and has gone about 190,000 km so far.
Photos of the...
Ngd wana JF salama?
Natafuta Plot Bagamoyo kwa ajili ya Nyumba inaweza kuwa katikatikati ya mji au maximum
3 Kilometres kutoka mjini-njia ya kurudi DSM zile sehemu vilipogawiwa viwanja vipya...
HOUSE FOR RENT LOCATED AT TABATA BIMA
MASTER ROOM -- 1
GUEST HOUSE ---2
KITCHEN----1
DINNING ----1
SITTING ---1
PUBLIC TOILET-- 1
Additional Out Buildings:
>Surrounding fence
>Water...
Wakuu,
Ninanzo PIII computers ambazo nimekuwa nikizitumia hapa kwenye shuguli zangu kwa muda sasa. Kutokana na mimi kubadilisha mifumo ya computer, ningependa hizi PIII kuzigawia watoto wa shule...
HOUSE FOR RENT LOCATED AT TABATA BIMA
MASTER ROOM -- 1
GUEST HOUSE ---2
KITCHEN----1
DINNING ----1
SITTING ---1
PUBLIC TOILET-- 1
Additional Out Buildings:
>Surrounding fence
>Water...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.