A plot for sale at Boko, Bagamoyo rd. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

A plot for sale at Boko, Bagamoyo rd.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mama Joe, Jul 13, 2011.

 1. M

  Mama Joe JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,511
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145

  A place known as Boko juu or Boko Chama, one Kilometer from Bagamoyo rd.
  Good landscape and 25 to 22 metres.


  Price: TSH 3,000,000

  Phone:
  +255 712 597 718
   
 2. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,090
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Una maana ukubwa wa eneo ni mita 25 x 22 ama vipi mkuu na vipi kuhusu hati.
   
 3. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 17,664
  Likes Received: 5,848
  Trophy Points: 280
  Mama Joe 25 to 22 metres maana yake nini!??
   
 4. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 5,261
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  maana yake ni 550 Metre square
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,421
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160
  Maji na umeme vipo? kituo cha karibu cha polisi ni umbali gani?
   
 6. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,276
  Likes Received: 1,668
  Trophy Points: 280
  maji hayapo ila mabomba ya dawasco mchinba yapo...umeme haupo ila nguzo na nyaya za tanesco zipo... Kwa hiyo nunua plot kisha chimba kisima upate maji.. Kuhusu umeme tumia solar au windmill au jenereta.... Kituo cha polisi kipo ila jengo lililopo halina askari kwa hiyo mutaungana kufanya ulinzi shirikishi...hosipitali ipo ila hakuana nesi na daktari.. Na siku wakiwapo hakuna dawa unashauriwa kwenda kunywa kikombe kwa bibi yupo karibu na sipitalui....ni maoni tuu...
   
Loading...