Toyota Starlet urgently wanted | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Toyota Starlet urgently wanted

Discussion in 'Matangazo madogo' started by rakeyescarl, Apr 27, 2011.

 1. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hi Waheshimiwa,nahitaji kujua wapi naweza pata au mwenye Toyota Starlet ya bei ya kuridhisha ili mradi iwe haijatembea hapa kwetu and unregistered, Year 2000 or latest,manual /automatic,white colour prefarably,5 doors, Less than 75,000Km,the rest standard it can be duty free or duty paid.
  RE.
   
 2. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mkuu hapo juu si kuna tangazo la site ya magari kama vipi agiza tu maana unataka ambalo halijatumika kwa tz
   
 3. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  maria kuna wngne huku wanatumia simu mwanzo mwisho kwahyo kuliona tangazo hapo juu hawawezi.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,289
  Likes Received: 22,056
  Trophy Points: 280
  M.R. Umenena ukweli mtupu
   
 5. e

  englibert Member

  #5
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lete m7 nikupe corona premio km88000 yr 2001 kila kitu kimelipiwa wewe nikuingia barabarani niandikie englibertm@yahoo.com
   
 6. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Mkuu hebu tupe details zaidi za hiyo gari tafadhali..
   
 7. e

  englibert Member

  #7
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimeingiza hivi karibuni toka japani imeisha sajiliwa ipo kwenye hali nzuri sana ,na utaipenda
   
 8. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,938
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Yeye anataka starlet yenye chini ya km 75,000 wewe unamweleza habari za premio yenye km 88,000. Kwa nini usianzishe thread ya kuuza hiyo premio yako?
   
 9. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,916
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 160
  Ninamaanisha cc ngapi, auto/manual?
  Picha if possible, n.k n.k
   
 10. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nawashukuru mwana JF mmoja ameniokoa amenipatia hicho kigari, nawashukuru na wenye mawazo kuwa hiyo site sijaiona,kote nimepita na kidogo najitahidi ku browse niko nyuma yenu pamoja na simu natumia kwani ka blackberry kangu kanafanya yote na internet kanayaweza au mlimaanisha mengine?:amen:
  RE
   
Loading...