Kiwanja chenye hati kinauzwa bei chee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja chenye hati kinauzwa bei chee

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Masika, Apr 23, 2011.

 1. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Habari wana jf!
  Kuna kiwanja chenye hati kinauzwa bei chee
  kiko kipawa mpya aka kwa mbike na kiko tambarare
  ni vile viwanja waliopewa watu waliohamishwa kipawa kupisha ujenzi wa uwanja wa ndege wa jk nyerere dsm
  kipo mita 400 kutoka bara bara ya nyerere kuelekea kisarawe
  ukubwa ni mita 25 kwa 35 na kina mazao
  bei ni hela za kitanzania mil 7 haipungui
  dalali hatakiwi
  mawasiliano 0787883059
  karibuni
   
 2. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  Mkuu cha kwako au ushakamata udadali, watuzuia wengine kuingiza mguu kudalalia?
   
 3. Masika

  Masika JF-Expert Member

  #3
  Apr 24, 2011
  Joined: Sep 18, 2009
  Messages: 731
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  acha porojo una mteja? madalali wasumbufu au wewe siye?
   
 4. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
  Mil sita huendi????????
   
 5. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mbona unatangaza dau kabla ya kukiona kiwanja chenyewe?
   
 6. wapalepale

  wapalepale JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 33
  akikubali ndo ntakuwa na power ya kwenda kukiona maana mkono wangu hauwezi vuka 6mil
   
Loading...