Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Salaam Wadau, Ninanunua Dell/HP monitor used/working au mpya,offer yangu ndio hiyo. Hata kama ni >15" I will not mind. Please PM me or rakeyescarl@yahoo.ie
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Have you visited me ? Kids Fun Spots(GAMES SECTION), Shopping areas, Movies, Bar and Lounge, Supermarket etc etc.. Click on the Like button to join the fan page and share with friends and family...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau kuna eneo linalomilikiwa na mtu binafsi liko Ngamatatate Geita Mkoani Mwanza ambalo limegundulika kuwa na madini ya dhahabu na hii ni kutokana na utafiti uliofanyika katika kipindi cha nyuma...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mambo wadau, Bold 9700 inauzwa kama kawaida. Bei ndo hiyo ya kutupa 320,000... Nichek kwa air 0655003510 au PM me.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiwanja kipo mbweni kina 30*40m bei 40M, kuna Shamba lipo kigamboni mwasonga karibu na Dar es Salaam Zoo heka 7 bei 15M, kuna Shamba lipo Visiga Madafu Kibaha, linafaa kufuga, kufungua shule Heka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hii ni mini-digital camera nimeifungua kwenye vifaa vya mtumba,software zake na datails zake zinapatikana online,ni nzuri kui2mia kama webcam kwa ajiri ya skyper,spy cam n.k.inapiga kazi vizuri...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
hii ni mini-digital camera nimeifungua kwenye vifaa vya mtumba,software zake na datails zake zinapatikana online,ni nzuri kui2mia kama webcam kwa ajiri ya skyper,spy cam n.k.inapiga kazi vizuri...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
hii ni mini-digital camera nimeifungua kwenye vifaa vya mtumba,software zake na datails zake zinapatikana online,ni nzuri kui2mia kama webcam kwa ajiri ya skyper,spy cam n.k.inapiga kazi vizuri...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kipo eneo la Mbezi Beach Makonde upande wa kushoto ukitokea Mwenge kuelekea Tegeta. Kina ukubwa wa mita za mraba 1000. Hakina Hati Miliki.Jirani kapima na Hati Miliki. Bei 40mil. Kwa mawasilianao...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau mm ninauza machungwa kwa jumla, npo Tanga kwa hyo yeyote atakaye penda tufanye biashara itakuwa vyema iwe ndani au nje ya nchi kima cha chini chungwa 50000
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima wakuu, nimechoka kutumia simu za aina ya nokia na nahitaji aina ya erricsson. Wapi kwa hapa Dar nitapata simu za aina hiyo na toleo lipi ni zuri zaidi?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani wadau naombeni ramani za nyumba nzuri anisaidie au kama unajua website yenye nazo itafaa pia. Asanteni kwa ushirikiano.
0 Reactions
12 Replies
5K Views
mchuma huo unauzwa shs M6 tu anaondoka na mchuma, ni manual t, gia tano, ina dif, cc 1400, mwaka 1992, iko katika hali nzuri unajaza mafuta unasepa. Lete mapesa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kimepimwa kina Hati Miliki, kipo katika maeneo yaliyopimwa na yaliyopangiluwa vizuri. Kina ukubwa wa mita za mraba 1735. Kipo upande wa kushoto ukiwa unaelekea Bagamoyo, umbali wa kilomita...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kerege ipo mbele ya Bunju na Mapinga . Shamba limegawanywa vipande, pametengenezwa barabara za mitaa. Kila kipande cha mita 20 x 20 kinauzwa kwa shilingi 2.5mil. Eneo hilo limetengwa kwa ajili...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Ni 2gb ram, 320gb hd, 1.66Ghz, built in webcam, wlan, bluetooth, wi-fi and window 7 starter pack nipigie kwa 0713079282 ... Nime2mia week na inakaa na charge masaa 6 kamili.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
(DELL) 1 GB OF RAM 80 HARD DISC PROCESSOR 3 (PHON NUMBER 0715581268 AU 0753581268 nipo hapahapa dsm
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wana JF na ma GT nina mashamba yanauzwa maeneo ya kigamboni moja la heka 1 lipo kati ya kibada na kisalawe(haufiki kisalawe lipo karibu na kibada) na la pili heka 3 lipo kata ya toangoma. Yote...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia natafuta online furniture store in Dar es salaam. naomba kama una link nipatie, nimesearch google lakini sikupata website ambayo inatumika zote...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau nina best yangu ambaye nataka nimsaidie gharama za kurekodi. Naomba anayejua gharama za studio kama Master Jay, Bongo records, Dhahabu records, lamaa, pancho na wengine wanaofanya kazi...
0 Reactions
7 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…