Kiwanja kinauzwa mbezi juu.

Kiwanja kinauzwa mbezi juu.

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,115
Reaction score
346
Kipo eneo la Mbezi Beach Makonde upande wa kushoto ukitokea Mwenge kuelekea Tegeta. Kina ukubwa wa mita za mraba 1000. Hakina Hati Miliki.Jirani kapima na Hati Miliki. Bei 40mil. Kwa mawasilianao zaidi piga simu 0717114409
 

Attachments

  • IMG_0218.JPG
    IMG_0218.JPG
    56.2 KB · Views: 74
  • IMG_0219.JPG
    IMG_0219.JPG
    46.8 KB · Views: 71
  • IMG_0233.JPG
    IMG_0233.JPG
    50.2 KB · Views: 80
Du ulofa huu ningekuwa na mpunga ningekitwaa hicho kiwanja, jamani kwa Dar hakuna eneo zuri kama Mbezi Juu bahari yote unaiona na upepo mwanana kutoka barini unaupata hata bila ya kujenga ghorofa , na jiji loote unaliona mwe.Mwalafyale hicho kiwanja kinanitoa udenda ,
 
Hiyo ndiyo sea view na usiku kunakuwa na upepo mwanana uhitaji kuwa fan au ac
 
Wizi tu unanunua kiwanja kisicho na hati mil 40?!!1 hivi si ndio unakuta kile kikundi cha Land mafia kimevamia mto na kujaza kifusi wanakuuzia eti ni kiwanja...be careful itakuja serikali makini hapa siku moja hivyo viwanja mtavikimbia...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom