Wanahitajika wabia wa kuchimba madini Geita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanahitajika wabia wa kuchimba madini Geita

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Tumba, Nov 29, 2011.

 1. T

  Tumba Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wadau kuna eneo linalomilikiwa na mtu binafsi liko Ngamatatate Geita Mkoani Mwanza ambalo limegundulika kuwa na madini ya dhahabu na hii ni kutokana na utafiti uliofanyika katika kipindi cha nyuma katika eneo hilo. Eneo hili linapakana kwa karibu kabisa na mgodi wa GGM( Geita Gold Mine). Mmiliki wa eneo hili kwa sasa ni mama mjane ambaye kulingana nna uwezo wake kifedha ameshindwa kuliendeleza kiuchimbaji kwani kunahitajika mtaji mkubwa kiasi na vifaa vya kati ili uchimbaji wa mgodi huu ufanyike. Eneo lina PML( Primary Mining Licence) ambayo huwa renewed after five years period. Kwa hiyo wanatafutwa wachimbaji wa kati wenye makampuni ambao wataingia ubia na familia ya mama huyu na kufanya uchimbaji kwa makubaliano maalum. Kwa mwenye nia na dili hili ani PM ntampa namba za simu kwa mawasiliano zaidi.
   
Loading...