Simu za Sony Erricsson..

kaeso

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
551
96
Heshima wakuu, nimechoka kutumia simu za aina ya nokia na nahitaji aina ya erricsson. Wapi kwa hapa Dar nitapata simu za aina hiyo na toleo lipi ni zuri zaidi?
 
Nunua Samsung Galaxy S2 ndo kiboko ya simu zote saiv.
Ila kama unazimika na Sorry Erisson, poa, ni ushauri tu.


Il Gambino.
 
Kuhusu toleo inabidi useme interest yako iko wapi.

Kama unataka simu ambayo itakuwezesha kusurf vizuri. . .kupiga picha nzuri. . kuwa na nafasi ya kutosha kuhifadhi music audio na video au hata movie mbili tatu za kuangalia ukiwa safarini and good games go for Sony Ericsson Xperia Arc S nadhani ndio latest kwa upande wa SE.. . . niliiona imetula kweli.

For specs chungulia hapa Sony Ericsson Xperia Arc S - Full phone specifications

Bei kwanzia usd 500.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom