Kiwanja kinauzwa bunju b. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwanja kinauzwa bunju b.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Nov 28, 2011.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Nov 28, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,036
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145


  Kimepimwa kina Hati Miliki, kipo katika maeneo yaliyopimwa na yaliyopangiluwa vizuri. Kina ukubwa wa mita za mraba 1735. Kipo upande wa kushoto ukiwa unaelekea Bagamoyo, umbali wa kilomita mbili na nusu.Bei yake ni shs 25mil.
  Kwa maelezo zaidi piga simu 0717114409
   

  Attached Files:

Loading...