Gharama za kurekodi nyimbo za bongoflava. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gharama za kurekodi nyimbo za bongoflava.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by tindikalikali, Nov 24, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Wadau nina best yangu ambaye nataka nimsaidie gharama za kurekodi. Naomba anayejua gharama za studio kama Master Jay, Bongo records, Dhahabu records, lamaa, pancho na wengine wanaofanya kazi nzuri.>naomba msaada wenu ili niweze kufanya anaysis.
   
 2. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  $60 kwa saa moja
   
 3. Kambaku

  Kambaku JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,986
  Likes Received: 2,900
  Trophy Points: 280
  sasa mbona watu huwa wanalalamika kuwa ni gharama kurekodi?

  $ 60 kwa saa moja na nyimbo moja si average ya dakika 5 hadi 10, so dakika 10 ni $ 10? Shilingi 17,500/= nyimbo iko hewani!! :shock:
   
 4. baraka607

  baraka607 JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mj rec ni 300000 na kwa lamaa pia ni bei hiyo hiyo bt bongo rec ni 350000! Huko kwa dully sijui ni ngapi
   
 5. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Wewe unafikiri kurecord nyimbo ya dk3 inachukua dk3?...duh!
   
 6. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #6
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kuna mshkaji wangu mmoja mzungu toka norway ana studio yake pale kibaha anafanya kwa 100,000/ kwa nyimbo! Pia Mzuka records waweza pata bei poa!
   
 7. l

  laun Senior Member

  #7
  Nov 27, 2011
  Joined: Sep 5, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama ni Fundi Samwel ni prod mzuri,nimesikia kazi zake kadhaa kama sweet 16 ya nako 2 nako
   
 8. baraka607

  baraka607 JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ebana mkubwa huyo fundi samweli anapatikana pande zipi... na anagonga kwa kiasi gani?!
   
Loading...