Mashamba yanauzwa Kigamboni:Hekari 3 na 1

Mashamba yanauzwa Kigamboni:Hekari 3 na 1

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
62,564
Reaction score
94,299
wana JF na ma GT nina mashamba yanauzwa maeneo ya kigamboni moja la heka 1 lipo kati ya kibada na kisalawe(haufiki kisalawe lipo karibu na kibada) na la pili heka 3 lipo kata ya toangoma. Yote hayo hayajapitiwa na mradi wa Bush.

Bei heka 1 ya kibada ni mil 13 na heka 3 za toangoma ni 48mil.
 
Kaka huko toangoma isiwe unatangaza shamba langu mjomba!! hala hala mwenyewe bado nipo!! toangoma sehemu gani kaka hizo eka tatu??
 
Kati ya Kibada na Kisarawe kuna mradi wa viwanja vya Manispaa. Upande wa kushoto Kama unaelekea Kisarawe kuna mradi wa DAWASA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom