Viwanja vinauzwa bagamoyo kerege.

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,060
281
Kerege ipo mbele ya Bunju na Mapinga . Shamba limegawanywa vipande, pametengenezwa barabara za mitaa. Kila kipande cha mita 20 x 20 kinauzwa kwa shilingi 2.5mil. Eneo hilo limetengwa kwa ajili ya Makaazi na hivi sasa upimaji unaendelea kwa walionunua. Wai usichelewe ardhi ni mali. Usiseme aha uko ni mbali! Kumbuka kuna wakati Sinza palikuwa mbali, Osterbay walisema kuna nyoka wengi watu wakakataa viwanja, Mikocheni na Mbezi Beach wakasema nako ni mbali. Eneo tambalale na lina mchanga. Halina vilima na miinuko. Kwa maelezo zaidi piga simu 0717114409
 
Ni umbali gani toka Bagamoyo road mkuu Kito?


Umbali wa kilomita moja na nusu exactly.
 
kama unauona kidogo unanunua viwili vitatu na kuendelea. Unasema car packing, unataka yard ya kupaki maroli?
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom