Ramani za nyumba

bank

Senior Member
Jan 9, 2011
158
24
Jamani wadau naombeni ramani za nyumba nzuri anisaidie au kama unajua website yenye nazo itafaa pia.
Asanteni kwa ushirikiano.
 
Mtafute huyu mdau Exaud Macha 0754267676...anachapisha kijarida chake pia kiko mitaani
 
Ni PM, weka email yako nitakufowadia ramani nzuri tofauti tofauti

Usimwombe ka pesa kidogo...uku nyuma ya pazia..lakini kwani akiangalia vizuri humu utakuta kuna request kama hii...ilianzishwa na mdau mmoja
 
Tafuta architect umweleze a-z unataka nyumba yako iweje akufanyie kazi si kucopy na kupaste,u nd a unique thing sa mkijikuta mtaani kwenu nyumba zinafanana kama kota utamlaumu nani?use professionals,
 
tatizo ni nini zikiwa za Ulaya? Au Ulaya ni mbinguni au Jehanamu? Toa maelezo yaliyokamilika
hizo ramani bado utahitaji mtaalamu azirekebishe na ziwekewe vipimo...! halafu ni za hali ya ulaya zaidi kuliko bongo..! NIONE MM.!
 
Tumia number hizi hapa 0754-987848 kumbuka mtaala anatakiwa aone eneo na vipimo vya eneo kwanza na kushauriana na ww kalba ya yeye kukuchorea
 
kama ndio wewe mwenye hii namba tuendelee na mazungumzo hapa hapa
Tumia number hizi hapa 0754-987848 kumbuka mtaala anatakiwa aone eneo na vipimo vya eneo kwanza na kushauriana na ww kalba ya yeye kukuchorea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom