Mitsubishi FUSO inauzwa,
Imetumika Nchini miaka miwili na nusu, Iko katika hali nzuri sana, na inafanya kazi ya kwenda mbeya hadi leo, Ina engine ya 16, Gia 5, 7500cc, Inabeba tani 10. BEI...
Mawakala wa kusambaza matrekta mapya aina ya aina ya Massey Ferguson, John Deere na New Holland wanahitajika nchini kote. Ofisi zetu zipo katika barabara ya Samora, jengo la Kervin House 1st...
Ndugu wapendwa, natafuta domestic bread slicer ya bei ndogo. Nimejaribu kutafuta Arusha nikaikosa ingawa duka la London Bazar walikuwa nazo kwa bei ya laki 4 Tsh na zikaisha. Mwenye taarifa kuhusu...
Wana jamvi
Natafuta mtu au kampuni ya kuweza kunisaidia kusajiri kampuni yangu ya usafirishaji kwa njia ya barabara na kwenda nje ya nchi ili kupata nyaraka zifuatazo
1 certifecate of...
Nyumba nzuri ya vyumba viwili vya kulala (kimoja master), sitting room, jiko na choo. Iko kwenye compound ya nyumba 4, zimezungushiwa uzio wa ukuta.Kuna parking ya kutosha magari zaidi ya 6. Kodi...
Ina accesories zake zote including charge na headphone, ni 85,000 tu! Ina kaa na charge na ina guarantee. Huwezi pata sehemu yoyote kwa bei hii! CHANGAMKA SASA 0713079282
Natafuta laptop au notebook yenye at least spcfctn: 320 gb hdd na kuendelea,1 gb Ram,iwe na speed ya kutosha,dvd RW,Wireless internet,etc iwe mpya au used isiwe na matatizo,mwenye nayo nipm pls...
wanajamii wenzangu ninauza KITU KIPYAA HAKUNA UTANI ! U.P.S Aina ya (INFORM GUARD ) KUTOKA UJERUMANI INA MWEZI TU HAPA NCHINI ichukuwe kwa 350,000/- Model:600A
600Ap
Input:AC 220-230-240V...
Mambo vp wadau,
Nauza Netbook HP MINI 110-3500 ni mpya kabisaaaaa, spec zake ni:
Hard Disk - 250GB
Ram - 1GB
Processor - Intel Atom 1.60ghz dual
Bluetooth
Wireless
SD card reader
Bei ni Tshs...
wakuu mzigo huo umeingia nchini siku si nyingi. karibuni kwa wale wote watakaokua interested!! call me through:713400763 or drop me an email at: imzzotz@yahoo.com asanteni! NB: FUNGUA attachment!!