Mitsubishi FUSO Inauzwa

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
170
Mitsubishi FUSO inauzwa,

Imetumika Nchini miaka miwili na nusu, Iko katika hali nzuri sana, na inafanya kazi ya kwenda mbeya hadi leo, Ina engine ya 16, Gia 5, 7500cc, Inabeba tani 10. BEI 22,000,000 na maelewano yapo.
Kwa maelezo zaidi niPM au piga namba 0714881500.
IMG-20111008-00331.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom