Nyumba inapangishwa Changanyikeni

Nyumba inapangishwa Changanyikeni

Doltyne

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2011
Posts
440
Reaction score
173
Nyumba nzuri ya vyumba viwili vya kulala (kimoja master), sitting room, jiko na choo. Iko kwenye compound ya nyumba 4, zimezungushiwa uzio wa ukuta.Kuna parking ya kutosha magari zaidi ya 6. Kodi 350,000 kwa mwezi,Malipo ni ya miezi 6, au mwaka. Itakuwa free kuanzia 1 jan 2011 au kabla kidogo kama muafaka utafikiwa.
Kwa maelezo zaidi piga 0714881500.
Mpangaji anatakiwa awe na kazi rasmi na wafadhili wawili.

NB: HAKUNA UDALALI. IPO CHANGANYIKENI nyuma ya UDSM.
 
Mpangaji anatakiwa awe na kazi rasmi na wafadhili wawili.

Sasa mkuu kazi inahusikaje hapo? Mi naihitaji ila sina kazi, nakulipa keshi ya mwaka mzima..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom