Apple IPAD 64GB mpyaaaa

Apple IPAD 64GB mpyaaaa

baraka607

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
844
Reaction score
168
mambo vp wadau,
kwa mara nyingine nashusha mzigo mpya ubaoni ni Ipad 64GB mpya kabisa kwa 750,000/=. Nicheki kupitia 0655003510 uondoke na jiwe!
 
Mbona simu 0655003510 haipatikani?

Hii kama imekaa kaa kaaa kama ya DUDE wa bongo Darisalaaamuuuuuu utalia lia lia
 
mambo vp wadau,
kwa mara nyingine nashusha mzigo mpya ubaoni ni Ipad 64GB mpya kabisa kwa 750,000/=. Nicheki kupitia 0655003510 uondoke na jiwe!

Zipo nyingi au ni moja tu? Pia bei inapungua?
 
Kha unaweka tena namba ya bajaji? Vipi kijana unaonekana hauko sireous
 
one mzazi' ukitaka two weka order ntakudondoshea mzigo...
Ipad 1 new kwenye box umeipata wapi kaka, hizo hazitengenezwi tena na hakuna duka linauza first generation labda online and used.
 
Back
Top Bottom