Mawakala wa kusambaza matrekta mapya wanahitajika nchini kote tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawakala wa kusambaza matrekta mapya wanahitajika nchini kote tanzania

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Sep 18, 2010.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,032
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Mawakala wa kusambaza matrekta mapya aina ya aina ya Massey Ferguson, John Deere na New Holland wanahitajika nchini kote. Ofisi zetu zipo katika barabara ya Samora, jengo la Kervin House 1st floor, linatazamana na duka la Sapna. Kwa wale wenye nia wanaweza kuja ofisini au kupiga simu kwa Mr Kitomai katika namba zifuatazo. 0717114409, 0755312233 au 0784225000.
   
 2. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2010
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu mimi nina hamu ya kununua Massey Ferguson moja ni bei gani?
   
 3. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hata mimi nataka kuchukua MF 375 kama mnazo na nipe na bei kabisa mzee....
   
 4. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,032
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Massey ferguson 240, (2wd, 50hp), $ 14,597.00
  massey ferguson 260, (2wd, 60hp), $ 16,892.00
  massey ferguson 375, (2wd, 75hp), $ 21,483.00
  massey ferguson 385, (2wd, 85hp), $ 24,695.00
  massey ferguson 385, (4wd,85hp), $ 35,771.00
  hizo bei ni kwa ajili ya mtrecta mapya.
   
 5. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Hizo bei ni pamoja na jembe lake au bila jembe?
   
 6. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,032
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Bila jembe.
   
 7. kasopa

  kasopa JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2010
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 304
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mheshimiwa mbona umetoa bei ya Massey pekeyake huoko mwanzo na John Deere umedokeza naulizia 6920S kama zipo beigani Massey 260 ikiwa na jembe lake ni beigani
   
 8. m

  massey ferguson Member

  #8
  Dec 4, 2011
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dear sir. We have one massey ferguson1104 from england for sale in zanzibar. price is 10100 usd. tractor is 2wd and has 110 hp. for further info call+255773420188
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Dec 4, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,403
  Likes Received: 81,429
  Trophy Points: 280
  Mkuu nadhani ni Kelvin House
   
Loading...