Gari halina tatizo lolote, ilipoingia nchini ilibadilishwa matairi ya mbele kuwekwa brand new ya dunlop, imefungwa alarm system ya auto watch. Sababu ya kuuza kwa dola ni kwamba niliagizia kwa dola na nataka kununua kwa lakini kama kuna mtu anataka kulipia kwa shillings ni maelewano tu.