D620 sh. Ngap nahitaj io kitu

nahitaj D620 kwa yyte aliyo nayo ni pm...

jinga wewe! D620 ndio nini sasa?
Ila kwa vile nimejua unataka kompyuta DELL Latitude D620 sio mbaya nikakusaidia.
Kama upo Dar fika duka moja pale round about shule ya Uhuru, linaitwa Universal Electronics, wanaouza ni Watanganyika wenye asili ya Al-Shaabab, ÐELL zao ni used ila ziko 'refubished' yaani zilirudishwa kiwandani kufanyiwa marekebisho.
Kuhusu bei, inarange toka 400 mpaka 500 Tsh.
Kwa ushauri zaidi, unaeza kuchukua D630 ambayo ni bora zaidi kwa wastani wa bei iyo hiyo. Waranti ni miezi sita!
Sawasawa?
 
haya mwerevu mjinga nishakuelewa.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom