Bei yako tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bei yako tu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Upkenk, Nov 25, 2011.

 1. Upkenk

  Upkenk Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanajamii wenzangu ninauza KITU KIPYAA HAKUNA UTANI ! U.P.S Aina ya (INFORM GUARD ) KUTOKA UJERUMANI INA MWEZI TU HAPA NCHINI ichukuwe kwa 350,000/- Model:600A
  600Ap
  Input:AC 220-230-240V
  50/60Hz
  U.p.s Output:Ac 220V 230V 240V 50/60Hz
  360W/600VA Nililetewa KAMA ZAWADI SASA NIIFANYIE NINI ? NDO NAIUZAA BEI MAELEWANO BADO NIPO
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu ungepeleka jukwaa husika halafu weka na picha..karibu sana JF
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,322
  Likes Received: 22,149
  Trophy Points: 280
  umeambiwa ukiitunza hadi utakapo computer hiyo UPS itakuwa imeshaoza?
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Mkuu vipi?Hata hivyo karibu sana.
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Nov 27, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,096
  Likes Received: 7,342
  Trophy Points: 280
  Pitia madukani uulizie kwanza "range" ya bei ya hiyo UPS kisha ndio uje uweke bei yako, sio kukurupukia tu kiweka tangazo.
  Kwa taarifa yako hiyo bei uliyoweka madukani napata UPS kama 4 hivi + Risiti + Guarantee Card,
  Sio yako ya kuuziana mkononi, guarantee ya mdomo!!!
   
 6. Kitope

  Kitope JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Kesho dada yako akigoma kukuletea vitu unapiga kelele hakujali!!! kila siku kelele niletee hiki niletee kile!! umeletewa leo unauza!!!? kwanini usimwambie dada yako kwamba huihitaji hiyo akuletee tu pesa au kitu kingine!!!? Upimbi huo. wewe hujui dada yako kapata tabu gani mpka anakuletea zawadi ya mtindo huo ama mmeelewana akuletee uuze???
   
 7. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  huyo dadako nae hamnazo!why akuletee UPS badala ya kukuletea laptop?ww sema umeipata mahali unataka kuisukuma!kusema umeletewa na dada!mh haingii akilini kwa mwana JF!ila kila la heri
   
 8. Upkenk

  Upkenk Member

  #8
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahahaha sa shida ya huku mnaongea sana.poa bwana,lakini mara zingine kateni maneno we binafsi kama hujiwezi piga kimya.mi sina shda nayo na nikiamua naiweka hata kwenye tv.sema ni uboya c bora niuze nipate hela ya kufanyia ki2 cha maana! ora! ka vipi huwez chukua usi comment hapa.au sio wakuu. acha anaetaka poa mi sina shida nayo na c o kwamba na shida ya laptop.my phone is enough fo every thng! am satisfied but ths U.P.S CRAP i don need it man! get it!
   
 9. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,441
  Likes Received: 9,089
  Trophy Points: 280
  Mkuu hao unaowajibu hivyo ndiyo wateja wenyewe.. Kua na moyo wa chujio, sometimes ukimya unasaidia.. Halafu kingine, hawa wanajamii hawaongi mkono hizo lugha za kwenye message( vifupisho), hivyo hawakawii kukwambia urudi FB mtandao wa wanafunzi
   
 10. Upkenk

  Upkenk Member

  #10
  Nov 30, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poa.asante kwa ushauri nashkuru we ni muelewa.
   
 11. hirorobert

  hirorobert Member

  #11
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  100,000/= No bargaining ni inbox if u ready
   
 12. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  • Jamani jaribuni na kuweni waungwana kidogo,nimejaribu kusoma tena na tena sikuona alipoandika katumiwa na dada yake,in any case nafikiri cha mtu humfaa mtu,kuletewa kitu kunakataza usikiuze?
  • Mimi najua kila mtu ana hai ya kuuza kwa bei yake regardless dukani kinauzwaje,ndio maana sometimes watu wanauza kitu kwa bei ya chini ambayo hata US/UK or else where hakiuzwi kwa bei hiyo,muacheni auze la maana ni kumwelimisha kuwa utapata ushindani kwa sababu mjini bei yake ni....Kitope ataogopa hata kuwa mwanajamii au ku post kitu hapa,week end njema!
   
 13. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #13
  Dec 2, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  na pesa ya taksi
  kwenda na kurudi Bunju, pamoja na hela ya lanchi, bado na chenji ikabaki.. Jamaa ametaja dau kubwa sana kwa ups yenye uwezo alioainisha hapa..!
   
 14. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #14
  Dec 3, 2011
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,096
  Likes Received: 7,342
  Trophy Points: 280
  Ahsante
   
 15. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #15
  Dec 3, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  ameamua kupafuta alipokua ameandika ameletewa na dada yake...labda anaamaanisha 35000 muulizeni vizuri
   
Loading...