domestic bread slicer

domestic bread slicer

Vema

New Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
1
Reaction score
0
Ndugu wapendwa, natafuta domestic bread slicer ya bei ndogo. Nimejaribu kutafuta Arusha nikaikosa ingawa duka la London Bazar walikuwa nazo kwa bei ya laki 4 Tsh na zikaisha. Mwenye taarifa kuhusu jambo hili naomba msaada tafadhali
 
Nyie ndio mnaotengeneza mikate michafu locally nyumbani halafu mnaingiza kwenye soko sio? Mnafunga na makaratasi wanayotumia viwanda vikubwa halafu mnasambaza!
 
Duuh, mkuu, mbona unamhukumu namna hiyo jamaaa?....au mnafahamiana! hihiiiii
 
Back
Top Bottom