Keki, Mwalimu wa keki anahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Keki, Mwalimu wa keki anahitajika

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mamndenyi, Dec 5, 2011.

 1. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #1
  Dec 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,075
  Likes Received: 6,538
  Trophy Points: 280
  Salaam sana wakuu wa hapa jf,
  nahitaji mwalimu wa kufundisha utengenezaji wa keki,
  ikiwezekana na namna ya kuipamba keki.
   
 2. h

  hayaka JF-Expert Member

  #2
  Dec 5, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nimekusoma unaonaje ukinipm.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Dec 5, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  hebu panga mwenyewe na tuition fee. kitabu nitakuuzia cha ideas za upambaji kama unataka kuingia commercial, ila ili nibaki na copy nawaza ku-scan kitabu chote na kukubamiza bei,lol
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,075
  Likes Received: 6,538
  Trophy Points: 280
  Asante sana King'asti,
  Mdogo wako anataka kuingia sokoni,
  nitashukuru kwa huo msaada.
   
Loading...