Used computer dodoma!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Used computer dodoma!!!!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by kijanamakini, Aug 6, 2011.

 1. kijanamakini

  kijanamakini Senior Member

  #1
  Aug 6, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Monitor-hp flat screen-ila ina kichogo..
  Cpu-dell 40gb, 512 mb ram

  processor 2.53

  tsh 240,000....haishuki, nimeshaishusha sana tuu... :)
   
 2. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kula msimbazi
   
 3. M

  Mr. Masasi Member

  #3
  Aug 6, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sasa mimi na wekundu wa jk 15. Yani laki unusu. Kama uko tayar tuwasiliane simu 0757922293, nko kwa rostam igunga
   
 4. kijanamakini

  kijanamakini Senior Member

  #4
  Aug 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kutokana na ugumu wa maisha na bei mafuta kutoeleweka and etc,... Kama mzalendo ninayependa technologia hii ikue zaidi..... nimeamua kupunguza buku 10, basi 230,000/=...ila sasa itakuwa wa kwanza kuja kuchukua mzigo ndo wake...namba 0717790034....Stev
   
 5. Kahtan Ahmed

  Kahtan Ahmed JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 510
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  utauza huko shamba dodoma huku dar kama hiyo ni 50000
   
Loading...