Warehouse na Fremu za kukodi bei bwerere manzese midizini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Warehouse na Fremu za kukodi bei bwerere manzese midizini!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kahtan Ahmed, Aug 24, 2011.

 1. Kahtan Ahmed

  Kahtan Ahmed JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 510
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Kumekua na ongezeko la magodown na fremu manzese midizii kutokana na kukua kwa biashara na msongomano wa watu, tena fremu nzuri zinapatikana kwa bei nafuu na godown! kuna godown na fremu kubwa na ndogo ndogo anaetaka awasiliane na mimi kwa namba 0712212220
   
 2. Kahtan Ahmed

  Kahtan Ahmed JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 510
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  kuna warehouse moja inaingiza lorry mpaka ndani kuna ulinzi wa kutosha na choo na hata kama utataka kufungua ofisi ndogo pia waweza bei ina urefu wa mita sita kwenda juu ina square meter 12 yani futi 40
   
 3. serio

  serio JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,930
  Likes Received: 1,148
  Trophy Points: 280
  taja bei
   
 4. B

  BARRY JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 367
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  sema bei zake...................acha uswahili
   
 5. Kahtan Ahmed

  Kahtan Ahmed JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 510
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  owk bei ya warehouse ni milioni moja na nusu kwa mwezi na fremu ni laki na sitini kwa mwezi kodi inalipwa kwa mwaka u r welcome!
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Aug 25, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Manzese 1M???? hii sio biashara ni wizi
   
 7. Kahtan Ahmed

  Kahtan Ahmed JF-Expert Member

  #7
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 510
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  we njo acha woga then utapelekwa mpaka serikali za mtaa acha uswahili ndo mana mnakua hamuendelei kwa dhana potofu
   
 8. Kahtan Ahmed

  Kahtan Ahmed JF-Expert Member

  #8
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 510
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  mi ndio kidume wa maeneo haya kama pia unahitaji vyumba,nyumba kupanga na kununua pia unakaribishwa
   
 9. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #9
  Aug 25, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Haya bwana kidume! Wenye kuhitaji watakutafuta, lakini vp hali ya usalama manzese midizini? Vibaka wamepungua?
   
 10. k

  keke Senior Member

  #10
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  bei za fremu hazishuki??
   
 11. Kahtan Ahmed

  Kahtan Ahmed JF-Expert Member

  #11
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 510
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  usalama upo ktk hali ya juu huwezi kuamini nina miezi sita sasa huku sijawahi kusikia tukio la uhalifu wa aina yoyote wananchi wameelimika wakimuona mtu muhalifu wanamripoti ulinzi shirikishi wanajitahi
   
 12. Kahtan Ahmed

  Kahtan Ahmed JF-Expert Member

  #12
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 510
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  bei za fremu hazipungui kwa sababu ya umeme,maji, na ulinzi hutonzi na ni fremu kubwa na nyumba ya usalama wa kuaminika pia huduma ya choo inapatikana
   
 13. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #13
  Aug 25, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,334
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  kwa mfuga dogs
   
 14. Kahtan Ahmed

  Kahtan Ahmed JF-Expert Member

  #14
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 510
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  hizo zilikua za kizamani sasa hivi pale uwanjani kuna shule na wala sio maeneo hayo
   
 15. a

  abrisalim Member

  #15
  Aug 25, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tani
  vipi naweza kupata shamba ndumi?
   
 16. Kahtan Ahmed

  Kahtan Ahmed JF-Expert Member

  #16
  Aug 25, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 510
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  sijakuelewa shamba nduni kivipi@abrisalim
   
 17. a

  abrisalim Member

  #17
  Aug 26, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sorry mkuu nilifikira cousin wangu kumbe wewe mtu yengine.
   
 18. bank

  bank Senior Member

  #18
  Aug 26, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hi manzeshe midizini ni eneo gani hasa? biashara imechangamnka hapo au ya kawaida?

  Vipi fremu maeneo ya sinza au mwenge naweza kupata? .samahani kama wewe sio dalali.
   
 19. Kahtan Ahmed

  Kahtan Ahmed JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 510
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  cjui kwa beishara gani unayotaka kufanya kwa mchangamko ila population ya watu ni kubwa
   
 20. Kahtan Ahmed

  Kahtan Ahmed JF-Expert Member

  #20
  Aug 26, 2011
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 510
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 45
  Mi sio dalali ila nitakuulizia
   
Loading...