Seriously natafuta msichana wa kazi za nyumbani (House Girl) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Seriously natafuta msichana wa kazi za nyumbani (House Girl)

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Yericko Nyerere, Aug 14, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Aug 14, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,208
  Likes Received: 3,773
  Trophy Points: 280
  Awe na mdhamini,
  elimu kuanzia darasa la saba,
  Umri kuanzia miaka 18,
  Awe na afya njema,

  Form four na kozi ya Computer ni Sifa ya ziada!!

  Kazi yake kuu ni kulea mtoto mmoja,kufua nguo na kuchota maji.
  Muda wa kazi ni kuanzia saa kumi na mbili asubu hadi saa tisa jioni!
  Chakula,malazi,mavazi na matibabu kwangu!
  Likizo itatolewa kila baada ya miezi sita!

  Mshahara ofa yangu inaanzia 100,000/=
   
 2. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ugeangalia sehemu ya kupost hiyo thread yako, either kwenye NAFASI ZA KAZI NA TENDA or MATANGAZO MADOGOMADOGO n.k
   
 3. N

  NCHABIRONDA JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ungekuwa unataka house boy ningekupatia sasa hivi. Vipi unahitaji?
   
 4. M

  Mr.creative JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hapa siyo sehemu yake!
   
 5. S

  SHANGINGI Member

  #5
  Aug 19, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ninaye huyo mwenye sifa zote utakazo lakini najua si kweli unamtafuta kwa kazi za nyumbani bali unataka ummege tu na kumtumia kwa ufuska kwani hata thread yako uloanzisha ya kumfuatilia demu posta dar akakuzingua nilikupasha uache ufuska coz una mke na watoto ukabisha sasa leo umejichanganya mwenyewe kuwa una mtoto sasa ulibisha nini?

  Usigeuze JF sehemu ya kufanyia ufuska aghaaaaaaaaaaaa jason mbona ivo lakini???pole kwa yule mkeo laiti kama angejua madudu yako sijui ingekuwaje.
   
 6. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />
  unapata wap muda wa kufuatilia mambo ya mtu hivi...kwel we shangingi
   
 7. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2011
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  hahahaa wewe shangingi naomba urafiki aisee
   
Loading...